Aussems kuhusu majeraha ya Kagere, kuwakosa Kagera
Kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Tanzania bara kati ya Kagera Sugar na Simba mjini Bukoba, kocha wa klabu hiyo, Patrick Aussems amesema kuwa atampumzisha mshambuliaji wake tegemeo, Meddie Kagere katika mchezo huo kutokana na kuumia.

