"Waliokulia mboga 8 wanatukwamisha" - Waziri Jafo
Waziri wa TAMISEMI Selemani Jafo, ameonesha kutofurahishwa na tabia ya baadhi ya watendaji mkoani Tanga, kwa kile alichokieleza kukwamisha baadhi ya miradi, ambayo imekuwa na mchango mkubwa kwa wananchi.

