Bonnah Kamoli asema atagombea Urais baada ya JPM Mbunge wa Segerea Bonnah Kamoli, amesema huenda akagombea Urais katika Uchaguzi Mkuu wa 2025, ambapo amedai anadhani yeye anafaa kurithi kiti cha Rais wa sasa Dkt. John Pombe Magufuli, ifikapo 2025. Read more about Bonnah Kamoli asema atagombea Urais baada ya JPM