Mbunge aeleza sababu ya kumchagua Alikiba Mbunge wa Segerea Bonnah Kamoli amesema anavutiwa sana na Msanii wa Muziki wa Bongofleva nchini Alikiba kutokana na ngoma zake, huku akikiri Msanii huyo ni mpiga kura wake. Read more about Mbunge aeleza sababu ya kumchagua Alikiba