Rais Magufuli amtumbua Mkuu wa Mkoa

Rais Magufuli na aliyekuwa Mlkuu wa Mkoa wa Morogoro Stephen Kebwe

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amemteua Lowata Sanare kuwa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, akichukua nafasi ya aliyekuwa mkuu wa mkoa huo Stephen Kebwe.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS