"Hata nisingekuwa staa ningepata warembo' - Duma Msanii Duma EATV & EA Radio Digital imepiga stori na msanii wa filamu Duma, ambaye amefunguka kujiweka kimuonekano mzuri ili kupata warembo, kufanya mapenzi, kazi na ustaa. Read more about "Hata nisingekuwa staa ningepata warembo' - Duma