'Msigwa ukitumia kiinua mgongo utaumia' - RC Hapi
Mkuu wa Mkoa wa Iringa Ally Hapi, amewatumia salamu viongozi wa upinzani akiwemo Mbunge wa Iringa mjini Mchungaji Peter Msigwa kuwa, pesa zake anazolipwa na Bunge asithubutu kuzitumia wakati wa kampeni za uchaguzi kwani atazipoteza bure.

