Serikali yakiri kudaiwa na wakulima wa Korosho

Waziri wa Kilimo Japhet Hasunga, amesema bado Serikali inadaiwa na Wakulima wa Korosho Shilingi Bilioni 50, kufuatia kununua Korosho katika msimu uliopita, kufuatia kuibuka kwa sintofahamu ya uuzaji.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS