Mashindano ya mbio za mbuzi yasomesha Wanafunzi
Leo Septemba 21, 2019, limefanyika tamasha la Arabian Dreams, ambalo lilikuwa na mashindano ya kukimbiza Mbuzi maarufu kama "The Goat Races" katika viwanja vya Green Kenyata Oysterbay Masaki Jijini Dar es salaam.

