JPM atuma maombi kwa wenye kesi za uhujumu uchumi
Rais Dkt John Pombe Magufuli, amemuomba Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) Biswalo Mganga, kama sheria itaruhusu akutane na wafungwa wenye makosa ya uhujumu uchumi waliokaa muda mrefu mahabusu, ambao pia wapo tayari komba radhi, na waweze kuzirudisha pesa hizo.

