Prof Jay atoa wito mzito kwa wana HipHop wa Bongo

Professor Jay

Mkongwe wa Hip Hop nchini ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Mikumi Mh. Professor Jay ametoa neno kwa wasanii wa Hip Hop Tanzania wanaoshindwa kujiweka kibiashara ili kujiingizia kipato nje ya muziki wanaoufanya.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS