Wahujuma uchumi waanza kuachiwa Hatimae Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imeanza kutimiza ombi la Rais Magufuli kwa kuwaachia na kuwafutia mashtaka wafungwa waliokuwa wakikabiliwa na makosa ya uhujumu uchumi. Read more about Wahujuma uchumi waanza kuachiwa