''Hata viwanja vimepanda bei Kibiti'' - IGP Sirro Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro, amelipongeza jeshi lake kwa namna ambavyo limeweza kupambana na kukomesha mauaji ya raia yaliyokuwa yakifanyika Wilayani Kibiti mkoani Pwani. Read more about ''Hata viwanja vimepanda bei Kibiti'' - IGP Sirro