IGP Sirro ashangazwa na RPC anayefanya siasa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro, amekemea tabia ya baadhi ya Makamnada wa Polisi nchini kujihusisha na shughuli za kisiasa kwa kile alichoeleza kuwa ni kinyume na Katiba ya nchi. Read more about IGP Sirro ashangazwa na RPC anayefanya siasa