Madee ashindwa kujizuia kwa Jux na Vanessa Mdee
Msanii mkongwe wa Bongo Fleva na mmiliki wa lebo ya 'MMB', Madee amepiga stori na EATV & EA Radio Digital na kunyoosha maelezo kuhusu Jux kwamba ndiye msanii bora wa RnB na kuvunjika kwa mahusiano yake na Vanessa Mdee.

