Tunda na Whozu, tayari kimenuka huku
Ni miezi mitatu tu imepita tangu “video vixen” Tunda na msanii wa Bongo Fleva, Whozu waonyeshe mapenzi yao katika mitandao ya kijamii na sasa imeonekana penzi la wawili limeingia dosari baada ya Tunda kuonekana akimuomba msamaha Whozu.
