Mtolea adai hamkumbuki Maalim Seif Mbunge wa Jimbo la Temeke Abdallah Mtolea, amesema hakumbuki fadhila zozote alizowahi kufanyiwa na aliyekuwa Katibu Mkuu wa chama chake cha zamani CUF, Maalim Seif na Mwenyekiti wake wa sasa, Prof. Ibrahim Lipumba. Read more about Mtolea adai hamkumbuki Maalim Seif