Nchi tatu zaigomea FIFA, hazikumpigia kura Messi Lionel Messi Lionel Messi ndiye mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa kiume wa FIFA, maarufu kama 'THE BEST' akiwapiku Cristiano Ronaldo na Virgil van Dijk usiku wa Septemba 23 mjini Milan nchini Italia. Read more about Nchi tatu zaigomea FIFA, hazikumpigia kura Messi