Rose Muhando amuangukia Rais Uhuru Kenyatta

Muimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania, Rose Muhando ameachia wimbo wa kumsifu na kumshukuru Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta na wananchi wake kwa kumsaidia kipindi alipokuwa na matatizo ya afya.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS