DC Kilolo kufanyiwa uchunguzi

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Ally Hapi kufuatilia utendaji kazi wa Mkuu wa Wilaya ya Kilolo, Asia Abdallah kwani hana ushirikiano mzuri na wafanyakazi walio chini yake.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS