Ruban aliyefariki na mtoto wa CDF alituma ombi
Kaka wa marehemu Nelson Olotu aliyefariki baada ya kupata ajali ya ndege ndogo, ajulikanaye kwa jina la Kelvin Olotu, ameeleza historia fupi ya mdogo wake wakati wa ibada ya mazishi na kusema kuwa Nelson alikuwa na ndoto kubwa, ambayo isingeweza kuzimwa na mtu yeyote.

