"Miaka 30, hata ukikutwa naye nyumbani" - Majaliwa
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewaonya baadhi ya Watendaji Kata na askari nchini ambao wamekuwa wakishindwa kuzifikisha sehemu husika kesi za watu, waliowapa ujauzito wanafunzi na kwamba atakayebainika atachukuliwa hatua kali za kisheria.

