CHADEMA watuma ombi kwa Kangi Lugola

Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola na Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa CHADEMA, Tumaini Makene

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimemuomba Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi Kangi Lugola, kufuatilia rufaa za malalamiko walizowahi kuziwasilisha ofisini kwake juu ya zuio la Jeshi la Polisi la kufanya mikutano ya hadhara na  kisiasa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS