Waziri Mkuu aagiza viongozi hawa kukamatwa

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ameagiza kukamatwa na kuwekwa ndani viongozi wa Kamati ya Watumiaji Maji wa mradi wa maji wa Matunguru uliopo katika Kijiji cha Tungamalenga, wilayani Iringa kwa tuhuma za ubadhilifu wa sh. milioni saba.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS