Mbunge CCM amuita Fatma Karume ili amshauri
Mbunge wa CCM kutoka jimbo la Temeke, Abdallah Mtolea, amesema kwa sasa hawezi kumshauri chochote, aliyekuwa Wakili wa kujitegemea Fatma Karume juu ya chama gani cha siasa ambacho anaweza kujiunga nacho kwa sasa endapo atatangaza kujiingia kwenye siasa.

