DC aomba radhi kumzushia kifo PM Mstaafu

Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mjini Richard Kasesela, amelazimika kuomba radhi kwa umma, baada ya kusambaza taarifa za uongo juu ya kufariki kwa Waziri Mkuu Mstaafu wa Tanzania Dr. Salim Ahmed Salim.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS