"Mwanamke mnene hana swaga" - Gigy Money Staa na mrembo maarufu Gigy Money, ametoa ya moyoni kuhusu kupungua kwa muigizaji Wema Sepetu, pamoja na masuala yake ya urembo na urafiki na kinachoendelea kwenye mahusiano yake kwa sasa. Read more about "Mwanamke mnene hana swaga" - Gigy Money