Tanzania yang’ara Kimataifa kwa uwekezaji

Mtendaji Mkuu wa Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) Moremi Marwa

Tanzania imetajwa kuwa katika orodha ya kiwango cha kimataifa katika masoko ya uwekezaji wa hisa na mitaji kwa mujibu wa kampuni ya viwango ya kimataifa FTSE.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS