Harmorapa adai anadate na Dada wa Jay Z

Msanii Harmorapa asiyeishiwa na vituko hapa nchini, ametoa kali ya mwaka baada ya kubebwa kwenye machela wakati wa uzinduzi wa filamu 2 za Duma, zilizofanyika Mlimani City na kusema kuwa watanzania wasimbeze kwani anayo mahusiano mazuri na nyota wa HipHop duniani Jay Z.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS