Ratiba ya mechi za fainali Sprite Bball Kings 2019 Mchenga Bball Stars (kijani) na Tamaduni (njano) Michuano ya Sprite Bball Kings 2019 imefikia katika hatua ya mwisho ambapo hivi sasa wamebakia vigogo wawili watakaopambana kumpata mshindi. Read more about Ratiba ya mechi za fainali Sprite Bball Kings 2019