''Sina kinyongo wala bifu na Wema Sepetu" - Wolper
Wolper na Wema Sepetu
Msanii wa filamu, mjasiriamali na mbunifu wa mavazi Jacqueline Wolper, ameweka wazi kuwa hana tofauti yoyote na msanii mwenzake Wema Sepetu pamoja na kufunguka 'issue' za kuringa.