''Mlima Kilimanjaro sio Mlimani City' - Steve
Msanii wa Filamu nchini Steven Mengele, maarufu kama Steve Nyerere amesema kuwa kazi ya kupanda mlima Kilimanjaro si kazi rahisi kwakuwa inamtaka mtu kujipanga na kuwa na afya iliyoimara hii ni baada ya yeye kushindwa kufikia kilele cha mlima huo, kupitia kampeni ya Waziri wa Maliasili na

