Jose Chameleone adai kutishiwa maisha

Jose Chameleone

Msanii maarufu nchini Uganda ambaye kwa sasa ameanza kujihusisha na masuala ya siasa Jose Chameleone, ameuweka hadharani ujumbe wa mtu anayemtishia maisha, endapo atashindwa kumtumia kiasi cha pesa alichomuomba.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS