Waziri Lugola aagiza wabakaji wanne kusakwa

Waziri Kangi Lugola

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola ametoa siku saba kwa Jeshi la Polisi Mkoani Rukwa, kuwasaka na kuwatia mbaroni wabakaji wanne waliokimbilia nchini Zambia.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS