Pembe adai anatembea na rungu sababu ya umasikini
Mchekeshaji wa muda mrefu nchini Tanzania maarufu kwa jina la Pembe,amesema kuwa uhalisi wa maisha ya watu wengi waishio vijijini, wanaotumia silaha za jadi katika utekelezaji wa shughuli zao za kila siku, ndicho kilichomvutia na yeye kuoneka na rungu katika filamu zake zote.

