CHADEMA wajibu madai ya Mbowe Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimekiri kupokea barua kutoka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini na kusema kuwa chama hicho hakijakiuka Sheria yoyote kama ambavyo ilikuwa imenukuliwa. Read more about CHADEMA wajibu madai ya Mbowe