Rais Magufuli aeleza TZ ilivyozushiwa ugonjwa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jon Pombe Magufuli, amesema moja ya sababu kumtumbua aliyekuwa Mkurugenzi wa taasisi ya tafiti za kiafya NIMR, Mwele Malecela ni kiongozi huyo kutoa taarifa ambazo hazikuwa sahihi kuhusiana na ugonjwa wa Zika.

