Baraka Sadick wachuana na Baraka Mopele Moja ya matukio katika game 1 Katika vitu ambavyo vilikuwa vya kusisimu katika fainali ya kwanza ni namna mastaa, Baraka Sadick wa Mchenga na Baraka Mopele wa Tamaduni, walivyochuana kuzipambania timu zao. Read more about Baraka Sadick wachuana na Baraka Mopele