Waliojifanya Usalama wa Taifa na vigogo wadakwa
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani Kagera, inaendelea kuwahoji watumishi watatu wa idara ya uvuvi na manunuzi katika Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa, kufuatia tuhuma za kuhujumu mradi.

