Rais Magufuli ashangaa Waziri wake kudharauliwa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, ameonesha kushangazwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Rukwa George Kyando, kutotekeleza maagizo yaliyotolewa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi Kangi Lugola, ambaye aliagiza kuhamishwa kwa Maaskari 9, katika kituo cha Polisi

