Kuhusu Yanga kuwa na mgogoro, Mwenyekiti ajibu Mwenyekiti wa klabu ya Yanga Mshindo Msolla. Mwenyekiti wa klabu ya Yanga Mshindo Msolla, amesema yeye hana tofauti na makamu wake Frederick Mwakalebela kama ambavyo imekuwa ikielezwa mtaani. Read more about Kuhusu Yanga kuwa na mgogoro, Mwenyekiti ajibu