Thamani ya mauzo DSE yapanda kwa asilimia 1800
Kwa kipindi cha robo ya tatu ya mwaka 2019, thamani ya mauzo ya hisa imefikia Shilingi bilioni 527.41 ambayo ni sawa na ongezeko la zaidi ya asilimia 1,800 ya robo ya pili ya mwaka 2019 na zaidi ya asilimia 1600 ya robo ya tatu ya mwaka 2018.

