Mchezaji wa kimataifa wa Simba arudi kwao Francis Kahata Kiungo wa kimataifa wa Kenya anayekipiga katika klabu ya soka ya Simba, Francis Kahata, amerejea nchini kwao kwa ruhusu maalumu ya kumuuguza mtoto wake. Read more about Mchezaji wa kimataifa wa Simba arudi kwao