Prezzo ashindwa kujizuia kwa Rais Magufuli Msanii Prezzo na Rais Magufuli Msanii wa Kenya na mfanyabiashara Prezzo, ameonekana kumsifia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kutokana na uongozi na utendaji wake wa kazi. Read more about Prezzo ashindwa kujizuia kwa Rais Magufuli