Baba wa watoto 100 na wake 19 aongeza wake wengine
Kutokea katika kijiji cha Ruyonza nchini Uganda kuna taarifa ambayo imezua gumzo mitandaoni kuhusu mzee mwenye umri wa miaka 94 aitwaye Nulu Ssemakula aliyeamua kuongeza wake wengine wanne huku akiwa tayari na wake 19 na jumla ya watoto 100.
