Zari alichamba shirika la ndege nchini Kenya Mrembo na mjasiriamali kutokea nchini Uganda Zari The Bosslady, amelichana shirika la ndege nchini Kenya, kufuatia kitendo cha kuibiwa marashi na mavazi yake ya suti kwenye ndege hiyo. Read more about Zari alichamba shirika la ndege nchini Kenya