Mvua zaua watu 9 Morogoro Eneo lililokumbw ana mafuriko Jumla ya watu 9 wakiwemo Wanafunzi watano wa Shule ya Msingi Nyachilo, wameripotiwa kufariki dunia kufuatia mvua kubwa, zinazoendelea kunyesha katika mkoa wa Morogoro. Read more about Mvua zaua watu 9 Morogoro