Msanii wa Injili afichua mahaba yake kwa JPM

Msanii wa muziki wa Injili nchini Joel Lwaga, amesema moja ya wanasiasa ambao wanamvutia sana kwenye medani za siasa Tanzania ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli, na kusema kama yeye asingekuwa muimbaji wa muziki malengo yake angekuwa mwanasiasa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS