Walichoahidi BASATA kuhusu 'video' za Menina

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA),limesema litayafanyia kazi maelezo ya msanii Menina Tz, mara baada ya kuzungumza naye kuhusu picha na video zake zisizo na maadili, zilizosambaa mitandaoni hivi karibuni.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS