Tozo kwa bidhaa za nje kuongezeka maradufu
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa, Serikali itahakikisha inaendelea kuongeza tozo kwa bidhaa zote za nje kwa lengo la kukuza soko la bidhaa za ndani hii ni kutokana na utamaduni, waliojijengea watanzania wa kupendelea kutumia zaidi bidhaa zinazotoka nje ya nchi.
